Siasa Za Kanu 2012 (March 9, 2010)

Chama cha kanu si mwanachama wa PDM muungano mpya wa vuguvugu llioundwa na vyama tanzu vya PNU. Haya ni kwa mujibu wa naibu mwenyekiti wa kitaifa wa chama hicho Gideon Moi ambaye pamoja na baadhi ya wanasiasa wa eneo hilo wa KANU walisema hawakushauriwa na hivyo kanu kitawania urais kama chama binafsi.

Related videos


Gideon moi in eldoret

gideon moi on on aps


Recent Videos

Siasa Za Kanu 2012

No user comments yet