Home | PDS | Corporate | The Standard | Contact Us |
Tue Mon Thur Fri Wed sat Sun
Home
News
English
Kiswahili
Drama
Comedies
Reality
Magazine Shows
Kids
Talk Shows
Contact Us

 

 

 

 


Taarifa Kuu
Mau Update Woman Dies | Play

Zezi la kuwaondoa wakaazi katika msitu wa mau sasa limesababisha maafa katika eneo la kuparnyat la msitu huo. hii ni baada ya mwanamke mmoja kuzirai na kufariki baada y kuzidiwa na uchungu wa kuona nyumba yake iliyokuwa na mazao yake ikibomolewa. Iasemekana mama huyo aliyejaribu kuwasihi maafisa wa polisi kumpa muda wa kuondoa mali yake bila mafanikio.
30 Mps Discuss Draft In Naivasha | Play

Ka mara nyengine tena suala la kubuni mfumo mpya wa utawala limeibua mjadala mkali huku naibu waziri mkuu musalia mudavadi akiwahimiza wabunge kutotumia Rila na Kbaki kama kigezo cha kupinga kielelezo hiki.Wchanganuzi wa kisiasa pia wametaka kufafanuliwa kwa kina mamlaka yanayotolewa kwa rais na waziri mkuu kwa kusema kuwa suala hili linawakanganya wakenya.
Draft Constitution On Teachers | Play

Na tukiendelea na uchambuzi wetu wa maswala ya yaliyomo kama katika kielelezo cha katiba ni kwamba wafanyikazi wa umma wataajiriwa na serikali ya ugatuzi endapo kielelezo hicho kitapitishwa. Hta hivyo waalimu wataendelea kunufaika kutokana na huduma za tume ya kuwaajiri waalimu nchini.
Icj Conference Closes | Play

Fedha chache zinazotengewa sekta ya sheria nchini katika bajeti ni moja wapo ya matatizo yanayoathiri sekta hiyo na utendaji kazi wake. Hi ni kwa mujibu wa jaji Phillip Waki aliyezungumza katika kufunga rasmi warsha ya mawakili ya ICJ mjini Mombasa. Vilevile Waki alisema kuwa sekta hiyo hijaweza kufanya kazi barabara kufuatia ushawishi kutoka serikalini.
Michezo
Harambee Stars Team For Cecafa Named/Kpl | Play

Wachezaji wanne wapya wamejumuishwa katika kikosi cha harambee stars kwa maandalizi ya mchuano wa dimba la cecafa senior challenge litakayoandaliwa hapa jijini Nairobi. Katika ligi na ligi ya premia ya humu nchini Kpl inatarajiwa kufikia tamati hapo huku baadhi ya mechi nane zikisakatwa kote nchini. Na kama mwanahabari wa michezo Victor Ogalle anavyotuarifu huenda timu ya bandari ikashushwa daraja ikiwa itakosa kutwaa ushindi dhidi ya mathare united.
|




 

 

TueMonThurFri Wed sat Sun